WAZIRI SIMBACHAWENE: TAFITI KUIMARISHA UTENDAJIKAZI SERIKALINI

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza kabla ya kuzindua tafiti mbili zilizofanywa na Chuo cha Utumishi wa Umma wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa tafiti mbili zilizofanywa na Chuo cha Utumishi wa Umma wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya. Kushoto kwake ni Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Ernest Mabonesho na kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa chuo hicho, Dkt. Florens Turuka.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (katikati) akimpatia kitabu Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi (wa kwanza kushoto) kinachohusu tafiti mbili zilizofanywa na Chuo cha Utumishi wa Umma wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Florens Turuka (aliyesimama) akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuzindua tafiti mbili zilizofanywa na Chuo cha Utumishi wa Umma wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya.

Post a Comment

Previous Post Next Post