TRA Yalaani Wananchi Kujichukulia Sheria Mkononi Na Kusababisha Kifo Cha Amani

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Yusuf Mwenda akiwafariji wafiwa wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Aman Kamguna Simbayao leo Desemba 08, 2024 katika Viwanja vya TRA vilivyopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Amani amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa -Moi-Dar es salaam baada kushambuliwa na watu katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, tarehe 6 Disemba, 2024 akiwa anatimiza majukumu ya kazi yake kwa majibu wa sheria
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Yusuf Mwenda akizungumza wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Aman Kamguna Simbayao leo Desemba 08, 2024 katika Viwanja vya TRA vilivyopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Amani amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa -Moi-Dar es salaam baada kushambuliwa na watu katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, tarehe 6 Disemba, 2024 akiwa anatimiza majukumu ya kazi yake kwa majibu wa sheria
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akizungumza wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Aman Kamguna Simbayao leo Desemba 08, 2024 katika Viwanja vya TRA vilivyopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Amani amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa -Moi-Dar es salaam baada kushambuliwa na watu katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, tarehe 6 Disemba, 2024 akiwa anatimiza majukumu ya kazi yake kwa majibu wa sheria

Baadhi ya waombolezaji wa Msiba wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Aman Kamguna Simbayao

Amani amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa -Moi-Dar es salaam baada kushambuliwa na watu katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, tarehe 6 Disemba, 2024 akiwa anatimiza majukumu ya kazi yake kwa majibu wa sheria

Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza wakati wa kuaga mwili wa 
  aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Aman Kamguna Simbayao leo Desemba 08, 2024 katika Viwanja vya Michezo TRA vilivyopo Kurasini jijini Dar es Salaam. Amani alifariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa -Moi-Dar es salaam baada kushambuliwa na watu katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, tarehe 6 Disemba, 2024 akiwa anatimiza majukumu ya kazi yake kwa majibu wa sheria.

Post a Comment

Previous Post Next Post