Wadau mbalimbali wanaotembelea mabanda ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), katika maonesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara wameendelea kupata huduma za urasimishaji wa biashara papo kwa papo na kupata vyeti vya Usajili. Wadau wanahimizwa kufika na kutumia fursa hii kurasimisha biashara zao. BRELA watakuwepo katika maonesho hayo mpaka tarehe 13 Julai, 2022.