“ULIPAJI MZURI WA KODI UTATUFANYA TUJENGE NCHI IMARA” KIDATA

 

………………………………………………………………

Na Silvia Mchuruza,Kagera.

Kamishina Mkuu wa TRA Mr. Alphayo  Kidata amewataka wafanyabiashara pamoja na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera kulipa kodi kwa hiari.

Kauli hiyo ameitoa wakatia akizungumza na wafanyabiashara wadodom wenye lengo la mkutano huo ili kutatua Kero zinazowakabili.

Hata hivyo ametoa pole kwa wafanyabiashara kwa upande wamifumo kuwa na matatizo kidogo kipindi cha nyuma lakini sasa kila kitu kimerekebishwa.

“Natoa pole zangu kwenu ndugu zangu kwa usumbufu uliokuwepo kipindi cha nyuma lakini sasa kila kitu kimerekebishwa na TRA inachoitaji ni napata ya serikali yakusanywe kwa ufanisi mkubwa”

Pia amewataka wafanya biashara kitu za kumbe kumbe zao ili kuweza kuwasaidia maanisha kukadilia kodi sahihi.

Aidha amewataka wafanyabiashara kuwa na matumizi sahihi ya mashine za EFD  maana inaokoa mapato ya serikal.

Sambamba na hayo nao wafanyabiashara Wameiomba TRA kutoa elimu ya kutosha kwa mlipa kodi  Ili kuepuka usumbufu unaojitokeza.

Vile vile wafanyabiashara hao Wameiomba mamlaka ya mapato nchini TRA  kupunguza VAT  kwa upande wao Kwani inawarudisha nyuma katika mapato Yao

Post a Comment

Previous Post Next Post