Wajumbe Wa Bodi Ya Zabuni Na Watumishi Wa Kitengo Cha Ununuzi Na Ugavi Wa JKCI Wapewa Mafunzo Ya Sheria Ya Ununuzi Wa Umma Na Kanuni Zake

 

Afisa Ununuzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Leah Komba akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA) kwa wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi hiyo.
Mhasibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya zabuni ya JKCI Reuben Nyiti akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA) kwa wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo.
Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya zabuni ya JKCI Godwin Sharau akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA) kwa wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi hiyo.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mary Haule ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya zabuni ya JKCI akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA) kwa wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete.

Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo na Ushauri wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Mhandisi Mary Swai akizungumza na wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) baada ya kumalizika kwa mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake. Wapili kulia waliokaa ni Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo na Ushauri wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Mhandisi Mary Swai.

Picha na JKCI


 Baadhi ya wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa wakati wa mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake.

Post a Comment

Previous Post Next Post