WAZIRI BITEKO AZINDUA KITABU CHA MWONGOZO WA NAMNA BORA YA KUCHUKUA SAMPULI KWA AJILI YA UCHUNGUZI WA MADINI KATIKA MAABARA

 

Waziri wa Madini Mhe.Doto Biteko akikata utepe wakati akizindua kitabu cha mwongozi wa namna bora ya kuchukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa madini katika maabara na mafunzo kwa viongozi wa shirikishon la vyama vya wachimbaji wa madini nchini leo tarehe 11 Machi 2021 Jijini Dodoma.

Waziri wa Madini Mhe.Doto Biteko akimkabidhi nakala ya kitabu cha mwongozi wa namna bora ya kuchukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa madini katika maabara Rais wa FEMATA John BIna leo tarehe 11 Machi 2021 Jijini Dodoma.

Waziri wa Madini Mhe.Doto Biteko akiwa na viongozi wengine wa Serikali wakionyesha kitabu cha mwongozi wa namna bora ya kuchukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa madini katika maabara mara baada ya kukizindua leo tarehe 11 Machi 2021 Jijini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post