WAZIRI AWESO AAMBATANA NA WATAALAMU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KUTEMBELEA KIWANDA CHA TANZANIA STEEL PIPES JIJINI DAR ES SALAAM

 Picha ya pamoja ya Waziri wa Maji alipo tembelea kiwanda cha Tanzania Steel Pipes kilichopo Ubungo, Dar Es Salaam.

*********************************

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Juma Aweso (Mb) ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na Wizara ya Viwanda na Biashara kutembelea viwanda vya mabomba ya maji ili kujiridhisha na uwezo wa kuzalisha mabomba kwa ajili ya Miradi ya Maji nchini.

Post a Comment

Previous Post Next Post