Leo tarehe 21 Februari, 2021 Tume ya Madini imeanza ushiriki wake katika maonesho yanayoendelea jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC)katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini. Mkutano huo ulioandaliwa na Wizara ya Madini unahusisha wadau wa madini ikiwa ni pamoja na Taasisi za Serikali, Taasisi za Kifedha, kampuni za uchimbaji wa madini, wachimbaji wadogo wa madini, wafanyabiashara wa madini nk. Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali.
TUME YA MADINI YAANZA USHIRIKI WA MAONESHO KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM
byJMABULA BLOG
-
0