Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga (wa pili kulia) akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja Jipya la Selander jijini Dar es Salaam leo, Wengine ni wataalam toka Wizara ya Ujenzi na wasimamizi wa mradi huo.
Muonekano wa juu wa Daraja Jipya la Selander jijini Dar es Salaam ambalo ujenzi wake unaendelea.
Muonekano wa juu wa Daraja Jipya la Selander jijini Dar es Salaam ambalo ujenzi wake unaendelea.
Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Hashim Kabanda (kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga alipokagua kazi ya kuchimbua tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mhadishi Heriel Samwel. Muonekano wa Mto Msimbazi mbele ya daraja la jangwani ambao usafishaji wake kutoa tope unaenelea.
Kazi ya usafishaji wa Daraja la Jangwani na mto Msimbazi ikiendelea jijini Dar es Salaam