WATUMISHI WA TRA WALIONUSURIKA KIFO TEGETA WATUNUKIWA

 MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewatunuku vyeti vya utumishi uliotukuka watumishi wake wawili wa Idara ya Forodha walionusurika kifo wakati wakitekeleza majukumu yao baada ya gari la Mamlaka kushambuliwa na wananchi katika eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam Desemba, 2024 ambapo mmoja wao Amani Simbayao alipoteza maisha na hivyo cheti chake kukabidhiwa kwa mke wake huku John Malole aliyewaokoa Watumishi hao naye akipatiwa cheti cha Shukrani na Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Mwenda wakati wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Forodha iliyoadhimishwa leo Januari 26, 2025 Jijini Dar es Salaam



Post a Comment

Previous Post Next Post