BRELA YATOA GAWIO KWA SERIKALI KWA TAASISI ZA SERIKALI

 


NA MWANDISHI WETU

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan, Juni 11, 2024, amepokea gawio la kiasi Shiling  Bil, 18,973,853,514.27 kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA).

Mchakato huo ni sehemu ya utekelezaji wa utoaji gawio  kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha Sheria ya Msajili wa Hazina Sura 370. 

Hafla hiyo imehudhuriwa na Dkt Fred Msemwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Waziri kwa BRELA na Bw Godfrey Nyaisa Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA.

Post a Comment

Previous Post Next Post