VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS WASHIRIKI HAFLA YA UZINDUZI WA KITUO CHA ZIMAMOTO CHAMWINO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bi. Mary Maganga (wa pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi Bw. Xavier Daudi (wa pili kulia) muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya uzinduzi wa kituo cha zimamoto na uokoaji katika Kata ya Buigiri Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Aprili, 2023 ikiwa ni Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Naibu Katibu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Mitawi (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Africa Media Group (AMG) Bw. Shaaban Kissu muda mfupi kabla ya ya kuanza kwa hafla ya uzinduzi wa kituo cha zimamoto na uokoaji katika Kata ya Buigiri Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Aprili, 2023 ikiwa ni Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Bi. Mary Maganga akibadilishana mawazo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Mitawi pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Xavier Daudi muda mfupi kabla ya ya kuanza kwa hafla ya uzinduzi wa kituo cha zimamoto na uokoaji katika Kata ya Buigiri Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Aprili, 2023 ikiwa ni Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Abdallah Mitawi (kushoto) akitazama ratiba ya hafla ya uzinduzi wa kituo cha kituo cha zimamoto na uokoaji katika Kata ya Buigiri Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Aprili, 2023 ikiwa ni Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Post a Comment

Previous Post Next Post