MKURUGENZI WA NEC AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE
byJMABULA BLOG-
0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa tume ya Uchaguzi nchini Ndg. Ramadhan Kailima Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 5, 2023.