Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akipanda mti kuashiria kuanza kwa Programu ya NMB ya Upandaji miti katika Mji wa Serikali -Mtumba Machi 27, 2023 Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene (wa nne kushoto) akishiriki uzinduzi wa Programu ya NMB ya Upandaji miti iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango Machi 27, 2023 katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wakifuatilia uzinduzi wa Programu ya NMB ya Upandaji miti nchi nzima katika Mji wa Serikali-Mtumba iliyozinduliwa na Mkamu wa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango Mchi 27, 2023 Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua mti wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene (kushoto) baada ya kuzindua Programu ya Upandaji Miti Nchi nzima katika Mji wa Serikali- Mtumba Machi 27, 2023 Jijini Dodoma inayotekelezwa na Benki ya NMB.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene (kushoto) akiteta jambo na Kamishna wa Uhifadhi TFS Prof. DosSantos Silayo wakati wa uzinduzi wa Programu ya NMB ya Upandaji miti katika Mji wa Serikali -Mtumba Machi 27, 2023 Jijini Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU