Hafla fupi ya ufungaji wa kikao cha pili cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRAWC) kilichofungwa na Mwenyekiti wa baraza hilo ambaye pia ni Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Alphayo Kidata leo tarehe 22/2/2023 katika Ukumbi wa PSSSF Makole, Dodoma.
KAMISHNA MKUU TRA KIDATA AFUNGA KIKAO CHA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI JIJINI DODOMA LEO
byJMABULA BLOG
-
0