Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Crypian Luhemeja wakati alipotembelea mitambo ya uzalishaji Maji ya Ruvu Chini iliopo mkoani Pwani leo tarehe 09 Novemba 2022.
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU CHINI
byJMABULA BLOG
-
0