Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Dkt. Venance Mwasse akizungumza na wanahabari wakati akitangaza ujio wa kampeni ya upandaji miti itakayosimamiwa na shirika hilo ili kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira, na inajulikana kwa jina la “STAMICO NA MAZINGIRA AT 50 yenye kaulimbiu ya Panda Mti, tumia Mkaa Mbadala Rafiki Briquettes, Okoa Mazingira. Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya Stamico jijini Dar es Salaam.
aimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Dkt. Venance Mwasse (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza ujio wa kampeni ya upandaji miti itakayosimamiwa na shirika hilo ili kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira, na inajulikana kwa jina la “STAMICO NA MAZINGIRA AT 50 yenye kaulimbiu ya Panda Mti, tumia Mkaa Mbadala Rafiki Briquettes, Okoa Mazingira. Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya STAMICO jijini Dar es Salaam wengine picha ni Mkurugenzi Rasilimali watu ma Utawala wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Deusdedith Magala pamoja Meneja Masoko Uhuaiano wa shirika hilo Geofrey Meena.