TAASISI YA MIFUPA MOI YASHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NANENANE MBEYA

 

Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Bw. Patrick Mvungi akitoa maelezo kwa Bw. Juma Kassim Kutoka Taasisi ya Tulia Trust jijini Mbeya aliyetembelea banda la Moi pamoja na mtumishi mwenzake Mariam Gesema katika Maonesho ya Kilimo-Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.

Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Bw. Patrick Mvungi akimsikiliza Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa Moi Bw. Juma Kassim wakati akiuliza jambo alipotembelea katika banda hilo.

Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Bw. Patrick Mvungi akimuonesha Bi Mariam Gesema Mguu bandia unaotengenezwa na taasisi hiyo katika maonesho ya Kilimo-Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.  

Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Bw. Patrick Mvungi  akiwafafanulia jambo wananchi hao waliotembelea banda lao katika maonesho ya Kilimo-Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.

Madaktari wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Moi pamoja na baadhi ya maofisa wa taasisi hiyo wakiwa katika picha ya pamoja kwenye banda lao.

Post a Comment

Previous Post Next Post