Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa katikati na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Horticultural Association (TAHA), Dkt. Jaquelin Mkindi wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bw. Mikalu Mapunda walipotembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya Kilimo-Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa katikati na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Horticultural Association (TAHA), Dkt. Jaquelin Mkindi wakimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bw. Mikalu Mapunda wakati akiwafafanulia jambo walipotembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya Kilimo-Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Horticultural Association (TAHA), Dkt. Jaquelin Mkindi akizungumza jambo huku Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa na Mkurugenzi wa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bw. Mikalu Mapunda wakimsikiliza walipotembelea katika banda hilo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa GS1 Bi. Clementina Kahamba, kuhusu masuala ya Msimbomilia alipotembelea banda hilo mapema leo, kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, akiangalia vikapu vilivyotengenezwa kwa nyuzi za katani kutoka katika mkonge wakati alipotembelea banda la mamlaka ya Mkonge mapema leo, kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.