Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwasili katika banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT)alipotembelea maonesho ya 46 ya Sabasaba yaliyofanyika kwenye viwanja vya juliusu Nyerere barabara ya Kilwa leo Julai 13,2022 jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2022. Maonesho hayo yamefungwa rasmi leo baada ya kufanyika kwa wiki mbili.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Uwezeshaji Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji wakati alipowasili katika banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT)alipotembelea maonesho ya 46 ya Sabasaba yaliyofanyika kwenye viwanja vya juliusu Nyerere barabara ya Kilwa leo Julai 13,2022 jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Kaimu Meneja wa Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania Bi. Vick Msina wakati alipotembelea katika banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT)katika maonesho ya 46 ya Sabasaba yaliyofanyika kwenye viwanja vya juliusu Nyerere barabara ya Kilwa leo Julai 13,2022 jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania Bi. Vick Msina wakati alipotembelea katika banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT)katika maonesho ya 46 ya Sabasaba yaliyofanyika kwenye viwanja vya juliusu Nyerere barabara ya Kilwa leo Julai 13,2022 jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2022. katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi. Latifa Khamis.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitoka katika banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) baada ya kutembelea banda hilo katika maonesho ya 46 ya Sabasaba yaliyofanyika kwenye viwanja vya juliusu Nyerere barabara ya Kilwa leo Julai 13,2022 jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2022.