No title

 


Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC) Bw. William Erio (kulia) akibadilishana nyaraka na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) Bw. Godfrey Nyaisa mara baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano.

kurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC) Bw. William Erio  na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) Bw. Godfrey Nyaisa wakisaini mikataba hiyo

kurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC) Bw. William Erio akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusaini mikataba hiyo. kulia ni Sylivesta Mpanduji Mkurugenzi Mkuu wa SIDO.

Baadhi ya watendaji wa Brela na FCC wakiwa katika hafla hiyo.

Tume ya ushindani wa Kibiashara (FCC) imesaini Makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya wakala wa usajili wa leseni na Biasahra BRELA  pamoja na Taasisi ya kuendeleaza viwanda vidogo SIDO yanayolenga kuongeza utekelezaji wa kisheria wa majukumu ya taasisi hizo.

Post a Comment

Previous Post Next Post