TFRA YAANZISHA MFUMO WA KIELEKTONIKI KURAHISISHA HUDUMA KWA WATEJA WA MBOLEA


 Kaimu Meneja wa TEHAMA na Takwimu Maafisa kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania –TFRA Salehe Kejo akizungumza katika banda lao kwenye Maonyesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara Sabasaba akielezea kuhusu  mfumo wa Kielektoniki wa Mbolea.

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano,Mawasiliano na Elimu kwa Umma TFRA Matilda Kasanga akizungumza kuhusu ushirikiwa wao katika Maonyesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Moja ya mwananchi aliyetembelea katika Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania –TFRA kwenye Maonyesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Picha ya pamoja ya Maafisa kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania –TFRA wakiwa katika banda la kwenye Maonyesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.(picha na Mussa Khalid)

Post a Comment

Previous Post Next Post