BOT WASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI JIJINI DAR ES SALAAM
byJMABULA BLOG-
0
Watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakishiriki maandamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.