TTB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Watumishi wa Bodi ya Utalii (TTB) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Watumishi wa Bodi ya Utalii (TTB) wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022.

Post a Comment

Previous Post Next Post