Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022
Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunini katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam