PROF. MBARAWA ARIDHISHWA KASI YA UJENZI BWAWA LA NYERERE

 

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza kwa makini Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo (kulia) anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), alipokagua maendeleo ya mradi huo.

 

Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo  anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake walipokagua maendeleo ya mradi huo unaoendelea Rufiji mkoani Pwani.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115).

Muonekano wa miundombinu ya Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), ambalo ujenzi wake unaendelea Rufiji mkoani Pwani.

Baadhi ya wahandisi wanaosimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipokagua maendeleo ya mradi huo.

Post a Comment

Previous Post Next Post