KAMATI YA MIUNDOMBINU YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA SEKTA YA UJENZI KWA MWAKA 2022/2023

 


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso akisisitiza jambo kwa Uongozi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, wakati Wizara hiyo ilipowasilisha Makadirio ya bajeti kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, akifafanua kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Miundombinu, kuhusu makadirio ya bajeti ya Sekta ya Ujenzi kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya., akifafanua kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Miundombinu, kuhusu ujenzi wa miudombinu ya barabara, vivuko na majengo wakati sekya hiyo ilipowasilisha makadirio ya bajeti ya Sekta ya Ujenzi kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Kaimu Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi) Richard Mkumbo, aki akifafanua kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Miundombinu, kuhusu ujenzi wa miudombinu ya barabara, vivuko na majengo wakati sekya hiyo ilipowasilisha makadirio ya bajeti ya Sekta ya Ujenzi kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mfuko wa Bababara (RFB),  Eliud Nyauhenga akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Miundombinu, kuhusu matumizi ya fedha za mfuko huo wakati sekta hiyo ilipowasilisha makadirio ya bajeti ya Sekta ya Ujenzi kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

PICHA NA WUU

Post a Comment

Previous Post Next Post