KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI (SEKTA YA UCHUKUZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

 


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso akisisitiza jambo kwa Uongozi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi mara baada ya Wizara hiyo kuwasilisha makadirio ya bajeti ya sekta ya Uchukuzi, kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Atupele Mwakibete, baada ya kuwasilisha makadirio ya bajeti ya sekta hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Atupele Mwakibete, akisisitiza jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati Sekta hiyo ilipowasilisha makadirio ya bajeti ya sekta kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Gabriel Migire akisisitiza jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati Sekta hiyo ilipowasilisha makadirio ya bajeti ya sekta kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma.

Picha na WUU


Post a Comment

Previous Post Next Post