KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA NEMC

   

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga akiongoza Kikao Viongozi wa Bodi na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo Juni 25, 2021 jijini Dodoma.

Katika kikao hicho Bi. Mary aliwataka viongozi hao kutimiza wajibu wao katika kusimamia Sheria ya Mazingira yam waka 2004 ikiwemo masuala ya vibali vya Tathmini ya Athari kwa Mazingira (EIA), Taka Hatarishi na Usimamizi wa Fedha. 

Post a Comment

Previous Post Next Post