BODI NA MENEJIMENTI YA EWURA YATEMBELEA TBS KUJIFUNZA JINSI WANAVYOWEKA KINASABA

  

Wajumbe wa Bodi ya EWURA, Mkurugenzi Mkuu (TBS), Dkt. Athuman Ngenya, Mkurugenzi wa Upimaji (TBS) Mhandisi Johannes Maganga, na timu ya wafanyakazi wanaohusika na uwekaji kinasaba katika mafuta wakiwa katika ziara ya ukaguzi katika bohari ya Puma Dar es salaaam mapema leo.

   

*********************

Mkurugenzi Mkuu (TBS), Dkt. Athuman Ngenya akiwa na Wajumbe wa Bodi na Menejimenti ya EWURA katika ziara ya kujifunza namna kazi ya uwekaji kinasaba inavyofanywa na TBS kwenye bohari ya Puma na katika Maabara za TBS , Dar es Salaam mapema leo. TBS inaendelea na kazi hiyo katika vituo 18 (15 Dar es Salaam, 2 Mtwara na 1 Tanga).

Post a Comment

Previous Post Next Post