WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AMKABIDHI ZAWADI NYOTA WA KLABU WA CRYSTAL PALACE, MAMADOU SAKHO

 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akimpa zawadi ya moja ya kikombe chenye nembo ya Hifadhi za Taifa, Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho akiwa na Mkewe Majda Sakho mara baada ya mkutano na vyombo vya habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Allan Kijazi 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akimpa zawadi ya Tisheti kutoka Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro  Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho akiwa na Mkewe Majda Sakho mara baada ya mkutano na vyombo vya habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania. 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akizungumza na  Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho mara baada ya  mkutano na vyombo vya habari uliofanyika Jijini  Dodoma ambapo Nyota huyo Sakho  ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania. 

Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho akizungumza na Vyombo vya habari katika mkutano wa Waandishi wa habari  uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania

Post a Comment

Previous Post Next Post