WAZIRI JAFO, CHANDE WAKUTANA NA KUTETA NA WAZIRI DKT. KHALID WA ZANZIBAR

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo (mwenye suti nyeusi kulia) akiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) wa Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed pamoja na watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais alipofanya ziara ya kujitambulisha na Naibu Waziri wake Mhe. Hamad Hassan Chande, Vuga, Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza katika kikao na watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) wa Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed, Vuga, Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo (kushoto) akiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) wa Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed pamoja na watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (hawapo pichani) alipofanya ziara ya kujitambulisha na Naibu Waziri wake Mhe. Hamad Hassan Chande, Vuga, Zanzibar.

Sehemu ya watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo (kushoto) akiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) wa Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) wa Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Hassan Chande wakiwa katika kikao na watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Vuga, Zanzibar. 

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Post a Comment

Previous Post Next Post