Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akiongozana na Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco/ wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26 kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi.Sarah Msafiri.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa transfoma kubwa ya umeme na Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa mitambo mbalimbali ya kupoza umeme iliyofungwa kwenye kituo hicho na Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa mifumo mbalimbali inayofungwa katika kituo hicho cha kupoza umeme na Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Baadhi ya mitambo iliyofungwa katika kituo hicho inavyoonekana.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato pia ametembelea mitambo ya kufua umeme wa gesi Kinyerezi II na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa katika mitambo hiyo.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipokea taarifa ya uzalishaji katika mitambo hiyo.
Mhandisi Innocent Luoga akimuongoza Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato wakati alipokuwa akitembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi II.