WAZIRI MTEULE WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA BANDA LA TMDA

 Biashara Bw.Geoffrey Mwambe  akipata maelezo kutoka kwa Maltin Malima Afisa Uhusiano Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA wakati alipotembelea katika banda la mamlaka hiyo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo

Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe  akiakioneshwa baadhi ya dawa wakati akipata  maelezo kutoka kwa Maltin Malima Afisa Uhusiano Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo

Picha zikionesha Maltin Malima Afisa Uhusiano Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA na wafanyakazi wenzake wakiwa kwenye  banda hilo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo

Post a Comment

Previous Post Next Post