KATIBU MKUU MALONGO AONGOZA KIKAO CHA WAFADHILI WA MRADI WA KUHIMILI MMABADILIKO YA TABIANCHI

 

************************************

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Joseph Malongo akiongoza Kikao kati ya Ofisi yake na wafadhili wa Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo ya Ikolojia (EBARR) kutoka Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) kilichofanyika leo Desemba 8, 2020 kwa njia ya video jijini Dodoma.

Mradi huo unatekelezwa katika Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Mpwapwa (Dodoma), Mvomero (Morogoro), Simanjiro (Manyara) na Kaskazini A (Unguja) ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais ndiyo mratibu wa mradi huo

Post a Comment

Previous Post Next Post