WADAU WA MAFUTA YA KULA WILAYANI KONGWA WAISHUKURU TBS KWA ELIMU WANAYOITOA

  

Wadau wa Mafuta ya kula wilayani Kongwa wameipongeza na kuishauri Shirika la Viwango Tanzania TBS kuendelea na mpango wa kutoa elimu wilayani humo sambamba na kufanya kaguzi za mara kwa mara ili kupunguza wimbi la bidhaa hafifu au zilizokwisha muda wake.

TBS inaendelea na zoezi la kutoa elimu kwa wasindikaji na wazalishaji wa mafuta ya kula katika Mikoa ya Singida,Tabora na Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post