WATUMISHI WA TATU WA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO (NCAA) WASHIRIKI KUTOA ELIMU KUPITIA REDIO YA LUMEN FM

 Watumishi watatu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wakiongozwa na Afisa Uhifadhi Mkuu (Maendeleo ya Jamii) Paul Mwabusila wameshiriki kutoa elimu kupitia redio ya Kijamii ya Lumen FM Karatu kuhusiana na njia mbalimbali za kukabiliana na Changamoto ya migongano kati ya Wanyamapori na wananchi (Human Wildlife Conflicts).

Post a Comment

Previous Post Next Post