Afisa Udhibiti Ubora Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Godwin Vedastus akitoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi sahihi ya mbolea katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea mkoani Simiyu.



 

Post a Comment

Previous Post Next Post