Wanawake kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakiwa katika banda la Wizara ya Kilimo tayari kutoa huduma kwa wadau mbalimbali wakati wa maonesho yaliyoanza leo katika viwanja vya Abeid Aman Karume jijini Arusha ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye kilele cha maadhimisho hayo. Kauli mbiu ya kitaifa ya mwaka huu ni *Wanawake na Wasichana 2025 : Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji