MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR

 

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Dkt. Mwinyi Talib Haji wakati alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa Kikaokazi kifupi na kubadilishana mawazo katika utendaji kazi na ushirikiano wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar  (SMZ) na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Machi 03, 2025.

Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hamza Johari  akimkabidhi zawadi Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Dkt. Mwinyi Talib Haji mara baada ya mazungumzo wakati alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa Kikaokazi kifupi na kubadilishana mawazo katika utendaji kazi na ushirikiano wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar  (SMZ) na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Machi 03, 2025.

Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hamza Johari akiwa katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Dkt. Mwinyi Talib Haji wakati mara baada ya mazungumzo yao wakati alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa Kikaokazi kifupi na kubadilishana mawazo katika utendaji kazi na ushirikiano wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar  (SMZ) na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Machi 03, 2025

Post a Comment

Previous Post Next Post