KATIBU MKUU ATETA NA WATUMISHI NEMC KANDA YA ZIWA

 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja leo tarehe 10 Machi, 2025 amewatembelea na kuzungumza na watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Kanda ya Ziwa jijini Mwanza wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Semesi.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Kanda ya Ziwa jijini Mwanza wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Semesi kulia alipotembelea Ofisi za Baraza hilo jijini Mwanza leo tarehe 10 Machi, 2025. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Paul Deogratius.

Suala la  mazingira ni la ulinzi na usalama

Post a Comment

Previous Post Next Post