NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA ASHIRIKI MKUTANO WA MAZINGIRA SAUDI ARABIA

 

 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (aliyekaa kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Saudia Arabia, Mohammed Juma Abdallah (PhD), na Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) John Chikomo katika Mkutano wa 16 wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP16) ambao unafanyika Jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia kuanzia leo Desemba 02 hadi 13, 2024.
 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (aliyekaa kulia) akiwa na wajumbe wengine wa Tanzania ambao wanashiriki katika Mkutano wa 16 wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP16) ambao unafanyika Jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia kuanzia leo Desemba 02 hadi 13, 2024. Kushoto ni Mohammed Juma Abdallah (PhD), Balozi wa Tanzania Nchini Saudia Arabia. Nyuma kushoto ni Agnes Mena Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji pamoja na Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET), John Chikomo.

Post a Comment

Previous Post Next Post