MAMLAKA ZA MAPATO AFRIKA MASHARIKI ZATETA KUHUSU MAADILI KWA WATUMISHI WAKE

 Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Ndani kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Ndositwe Haonga amefungua mkutano wa 19 wa Mamlaka za Mapato katika nchi za Afrika Mashariki wenye lengo la kushirikishana mbinu na mikakati mbalimbali ya maadili ili kupambana na vitendo vya rushwa vinavyopelekea upotevu wa kodi. 


Mkurugenzi Haonga amefungua mkutano huo kwa niaba ya Kamishna Mkuu wa TRA. Mkutano huo umeanza tarehe 22 na utamalizika tarehe 25 Oktoba, 2024 jijini Arusha.







Post a Comment

Previous Post Next Post