WAFANYAKAZI WALIOHAMA JKCL WAAGWA

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimuaga aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi hiyo Mohamed Songoro wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wa JKCI waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimuaga aliyekuwa Katibu Muhtasi wa Taasisi hiyo Faith Temba wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wa JKCI waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo jijini Dar es Salaam.


Aliyekuwa Mfamasia wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Nelson Faustine akitoa neno la shukrani mara baada ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wa JKCI waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi wa taasisi hiyo waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika ukumbi wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika ukumbi wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam Picha na: JKCI

Post a Comment

Previous Post Next Post