NAIBU WAZIRI KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA TPDC MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

 

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) leo Juni 21,2024 katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete,akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Bi. Marie Msellemu, wakati alipotembelea banda la TPDC katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

 

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.


Post a Comment

Previous Post Next Post