KIKAO KAZI KATI YA MENEJIMENTI NA WATUMISHI WA SEKTAYA UJENZI

 

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya  akisisitiza jambo kwa Menejimenti pamoja na watumishi wa sekta hiyo (hawapo pichani) katika kikao kazi, kilichofanyika Hombolo, jijini Dodoma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Balozi Mhandisi Aisha Amour, akifafanua jambo kwa Menejimenti pamoja na watumishi wa sekta hiyo (hawapo pichani) katika kikao kazi, kilichofanyika Hombolo, jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Sekta ya Ujenzi, Ludovick Nduhiye, akielezea maazimio ya kikao kazi kilichokutanisha Menejimenti pamoja na watumishi wa sekta hiyo (hawapo pichani) Hombolo, jijini Dodoma.


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa  Umma na Utawala Bora, Bw Xavier Daud, akiwasilisha mada kuhusu kuimarisha ari na morali kwa watumishi wa umma katika kikao kazi kilichokutanisha Menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), pamoja na watumishi wa sekta hiyo (hawapo pichani)  Hombolo, jijini Dodoma.

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Wakimsikiliza Naibu Waziri wa  Sekta hiyo Mhandisi Godfrey Kasekenya (Hayupo Pichani) katika kikao kazi kilichokutanisha Menejimenti pamoja na watumishi wa sekta hiyo  Hombolo, jijini Dodoma.


Post a Comment

Previous Post Next Post