WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA WELEDI

Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mstaafu),
Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa
wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na Kata
yaliyoanza leo Juni 19,2023 jinini Tanga. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni
maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Kata 14 za Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika
tarehe 13 Julai, 2023 kujaza nafasi wazi za madiwani.  

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na Kata yaliyoanza leo Juni 19,2023 jinini Tanga. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Kata 14 za Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika tarehe 13 Julai, 2023 kujaza nafasi wazi za madiwani.  

Washiriki wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi  wa mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na Kata yaliyoanza leo Juni 19,2023 jinini Tanga. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Kata 14 za Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika tarehe 13 Julai, 2023 kujaza nafasi wazi za madiwani.  

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Balozi Omar Ramadhan Mapuri akisalimia wakati wa mkutano huo wa mafunzo. 

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Emmanuel Kawishe akizungumza. 

Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya
Wilaya ya Tanga, Mh. Ruth Mkisi akiwaongoza wasimamizi wa Uchaguzi na
Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata kula kiapo cha kujitoa
uanachama wa vyama vya siasa na kiapo cha kutunza siri. 

Post a Comment

Previous Post Next Post