NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO KAZI CHA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU MBALIMBALI YA WIZARA

 


IMG-20230114-WA0115

IMG-20230114-WA0116

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) ameongoza kikao kazi cha kujadili na kupitia taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya Wizara ya Maliasili na Utalii yaliyopangwa kutekelezwa katika kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba,2022.
Kikao hicho kilichohudhuriwa na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Maliasili na Utalii kimefanyika leo Januari 14,2023 jijini Dodoma

Post a Comment

Previous Post Next Post