MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA TANAPA KATIKA KONGAMANO LA MAZINGIRA IRINGA




 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Isdory Mpango akipata maelezo toka kwa Naibu Kamishna wa Uhifadhi, Steria Ndaga- Mkuu wa Kanda ya Kusini – TANAPA kuhusiana na changamoto ya uharibifu wa mazingira uliosababisasha Mto The Great Ruaha kutotirisha maji kwa zaidi ya siku 100 na kuathiri Ikolojia ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Maelezo hayo ameyatoa leo katika Kongamano la wahariri na wadau wa Uhifadhi mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji linaloendelea katika Ukumbi wa Masiti mjini Iringa

Post a Comment

Previous Post Next Post