Na John Mapepele
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa na Balozi wa Tunisia nchini Salim Afsa leo Novemba 2, 2022 wamekutana na kujadiliana masuala mbalimbali ya sekta ya Michezo.
Mara baada mazungumzo haya wamewaongoza maelfu ya watanzania kutazama mechi ya Kombe Shirikisho la Afrika baina ya timu ya Yanga na Africain ya Tunisia.
Mchezo huo umechezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo timu zote zimetoka sare ya 0-0